Nyota wa soka Cristiano Ronaldo
ameanza kufikiria kuhusu hatua za baadae za kimaisha baada ya kukiri
kuwa hawezi kuichezea Real Madrid daima.
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid,
mwishoni mwa msimu huu anamipango mikubwa ya mustakabali wake wa
baadae nje ya soka.
Jana Ronaldo amebainisha mradi wake
mkubwa usio wa soka, wa dola milioni 54 wa CR7 hoteli katika miji
mitatu ambayo alichezea soka.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni