.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Desemba 2015

ENEO LA KILOMITA 8 LA MTO MISSISSIPPI LAFUNGWA KUTOKANA NA MAFURIKO

Eneo la kilomita 8 la Mto Mississippi karibu na St Louis, Missouri, limefungwa kutotumiwa na vyombo vya baharini kutokana na kuongezeka kwa maji katika kiwango hatari.

Vikosi vya ulinzi vya majini vimesema mvua ya gharika imeleta athari katika ukanda huo kwa siku kadhaa, na kufanya mito kufurika maji.

Gavana wa Missouri, Jay Nixon, amesema watu 13 katika jimbo hilo la Marekani wamekufa kutokana na mafuriko. 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni