Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.
UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza
kujipatia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali
katika Gazeti la Uwazi kesho Jumanne pamoja na Risasi
Mchanganyiko siku ya Jumatano.
Jinsi ya kushiriki, nunua gazeti lako la Uwazi au Risasi Mchanganyiko
kisha jibu maswali kiufasaha ndani ya magazeti hayo katika kuponi maalum
na washindi watano kila gazeti watajishindia tiketi ya bure kwenda
kwenye shoo ya Diamond itakayofanyika Krismasi katika Ukumbi wa Dar Live
uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Wanaoruhusiwa kushiriki ni wenye umri kuanzia miaka 18, shindano hili ni kwa watu waishio jijini Dar pekee.
Wanaoruhusiwa kushiriki ni wenye umri kuanzia miaka 18, shindano hili ni kwa watu waishio jijini Dar pekee.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni