.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Desemba 2015

KIWANDA CHA TBL ARUSHA CHATOA ZAWADI KWA WALIOFANYAKAZI KWA MIAKA 10 HADI 30


Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 10 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 15 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL.

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 20 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL.

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 25 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL.

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 30 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL.

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi kwa kipindi cha miaka 10 hadi 30 wakikata keki wakati wa hafla ya kwapongeza ilifanyika kwenye kiwanda maeneo ya Themi jijini Arusha.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha wakifungua Champagne.

Maafisa waandamizi wa TBL wakifurahia jambo na mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu mara baada ya kumkabidhi cheti na hundi huku akimskiliza kwa karibu Corperate Affairs Director wa TBL,Geogia Mutagahywa,kushoto ni Afisa Mwajiri ,Kissa Mwasomola.
                                   Wafanyakazi wakijumuika kwenye hafla hiyo
                            Wana TBL mkoa wa Arusha wakifurahia jambo
  Wakifatilia kwa makini
Meneja Ufundi wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha ,Salvatory Rweyemamu(katikati)akifurahi jambo na wafanyakazi wenzake.
Mmoja wa wafanyakazi waliofanyakazi TBL kwa kipindi cha miaka 30 akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari na kusema amekua mtu mwenye furaha kufanya kazi katika kampuni hiyo.

Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com wa Arusha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni