.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Desemba 2015

KOCHA LOUIS VAN GAAL AHOFIA KIBARUA CHAKE KUOTA NYASI KAMA MOURINHO

Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amesema anahofia kibarua chake baada ya kupata kipigo cha kushtua cha mabao 2-1 nyumbani kutoka kwa Norwich.

Matokeo hayo yanaifanya Manchester United kupata kipigo cha tatu mfululizo katika michuano yote, bila ya kushinda michezo sita.

Wachezaji Cameron Jerome na Alex Tettey waliifungia Norwich mbao huku bao pekee la Manchester United likifungwa na Anthony Martial.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni