.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Desemba 2015

KOCHA PEP GUARDIOLA ATAONDOKA BAYERN MUNICH MWISHONI MWA MSIMU

Kocha Pep Guardiola ataondoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu huu na nafasi yake kutwaliwa na Carlo Ancelotti.

Guardiola, 44, amekuwa akihusihswa na klabu za Manchester City, Manchester United, Chelsea pamoja na Arsenal.

Kocha huyo wa zamani wa Barcelona ameshinda mataji mawili ya ligi pamoja na Kombe la Ujerumani tangu ajiunge na Bayern majira ya joto mwaka 2013. 
                  Carlo Ancelotti akikumbatiana na Pep Guardiola ambaye atamrithi 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni