Mahakama Kuu ya Japan imekazia
sheria inayosema wanandoa wanapaswa kutumia jina moja la ukoo, uamuzi
ambao unachukuliwa kama pigo kwa wanaharakati wa haki za wanawake.
Wapiga kampeni wamekuwa wakisema
sheria hiyo ni kandamizi, kutokana na wanandoa wengi kuishia kutumia
jina la ukoo wa waume zao.
Hata hivyo madai hayo yamepingwa na
mahakama ambayo imesema sheria hiyo haivunji Katiba ya nchi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni