Mvua inayoambatana na kimbunga cha
tornado imeikumba Sydney ambapo rekodi za hali ya hewa zimeripoti
upepo wenye kasi katika jimbo la New South Wales.
Upepo huo wenye madhara wenye spidi
ya kilomita 213km/h umelikumba eneo la Kurnell, kusini mwa Botany
Bay, leo asubuhi.
Watu wawili wamepelekwa hospitali
mmoja akiwa ameumia kichwani, mwingine akisumbuliwa na mshtuko.
Uharibifu uliofanywa na tornado kama unavyoonekana kwenye picha
Mtu akiwa ameweka mkononi bonge la jiwe la barafu lililoanguka



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni