.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Desemba 2015

MAREKANI YAMNYIMA MTOTO WA OSAMA BIN LADEN CHETI CHA KIFO CHA BABA YAKE

Mtoto wa Osama Bin Laden ameripotiwa kuiomba Marekani cheti cha kifo cha baba yake, kwa mujibu wa tovuti ya Wikileaks.

Barua hiyo kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Saudi Arabia ni miongoni mwa nyaraka 60,000 za serikali ya Saudi Arabia zilizotolewa na Wikileaks.

Mwambata wa Kijeshi wa Ubalozi Jenerali Glen Keiser alimuandikia Abdullah Bin Laden mwaka 2011 kumuambia kuwa hawezi kutoa cheti cha kifo cha Osama.

Tovuti hivyo ya kufichua siri za mataifa mbalimbali ya Wikileaks imetoa nyaraka 500,000 inazodai ni za serikali ya Saudi kwa mataifa ya kigeni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni