.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Desemba 2015

UTAFITI WABAINI DUNIA IPO KATIKA KIPINDI CHA KUANZA KUTOWEKA

Dunia ipo katika kipindi cha kutoweka, utafiti uliofanywa na vyuo vikuu vitatu vya Marekani umebainisha na binadamu ndiye atakuwa mhanga wa kwanza.

Ripoti hiyo, iliyoongozwa na vyuo vikuu vya Stanford, Princeton na Berkeley, imesema wanyama wenye uti wa mgongo wanatoweka katika kiwango cha mara 114 zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Matokeo ya utafiti huo yanaungana na matokeo yaliyochapishwa mwaka jana na Chuo Kikuu cha Duke, cha nchini Uingereza.

Utafiti huo uliofanyika kwa mwaka mmoja, umeeleza kuwa binadamu wanaingia katika hatua ya sita ya kutoweka kwa wingi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni