.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Desemba 2015

RAIS BARACK OBAMA ASEMA UBAGUZI UNAITIA DOA JAMII YA WAMAREKANI

Rais Barack Obama amesema ubaguzi unaendelea kuitia doa jamii, baada ya kuuwawa kwa Wamarekani tisa wenye asili ya Afrika kwenye kanisa moja South Carolina.

Polisi nchini Marekani wanachukulia tukio hilo lililotokea jumatano kwenye kanisa huko Charleston kama uhalifu uliochochewa na chuki.

Mtuhumiwa wa mauaji hayo, Dylann Roof, 21, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka tisa ya mauaji.

Roof hakuonyesha dalili zozote za kuhuzunishwa na kitendo hicho, wakati alipokuwa akiongea na ndugu za watu aliowauwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni