Saudi Arabia imesema mataifa 34 ya
Kiislama yamejiunga na kikosi walichokiunda cha kukabiliana ugaid.
Chombo cha taifa hilo kimesema kuwa
makao makuu ya umoja yatakuwepo katika jiji la Riyadh nchini Saudi
Arabia.
Mataif ya Asia, Afrika na za Kiarabu
zinahusika katika muungano huo lakini mpinzani mkuu wa Saudi Arabia
nchi ya Iran haijajiunga.
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na
shinikizo la kimataifa kwa nchi za Ghuba kuongeza jitihada za
kupambana na kundi la Dola ya Kiislam (IS).

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni