.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Desemba 2015

MIREIA LALAGUNA ROYO KUTOKA HISPANIA NDIYE MISS WORLD 2015

 Washiriki wa shindano la urembo la kumsaka mrembo wa dunia " Miss World 2015" wakiwa jukwaani katika shindano lililofanyika Sanya, China.
Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo ( katikati ) kutoka Barcelona, Hispania akiwa na washindi wengine ,Sofia Nikitchuk, 22 ( kushoto ) Raia wa Urusi aliyeshika nafasi ya pili na Maria Harfanti, 23, ( kulia ) raia wa Indonesia aliyeshika nafasi ya tatu.
NIACHENI NILIE KWA FURAHA!! Mireia Lalaguna Royo, kutoka Barcelona nchini Hispania akilia kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa taji la Miss World 2015. 

Mireia aliwashinda washiriki wenzake wengine 113 kutoka sehemu mbalimbali duniani waliokuwa wakiwania taji hilo, shindano lililofanyika Sanya, China.
Miss Sweden Natalia Fogelund ( kushoto ) akiwa na Miss Tanzania Lilian Kamazima ( kulia ) wakipita jukwaani wakati wa shindano hilo.









Hakuna maoni :

Chapisha Maoni