.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 22 Desemba 2015
MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR AMTEMBELEA WAZIRI KITWANGA OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole, kuhusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Kitwanga, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wapili kushoto) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati), kuhusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Kitwanga, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, na kushoto ni Naibu Mwakilishi Mkazi wa UNHCR, Robert Tibagwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole, kwa ajili ya kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke (kulia) na Naibu Mwakilishi Mkazi wa UNHCR, Robert Tibagwa. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni