Mwananuziki Aretha Franklin
ameonyesha umahiri wake wa kutumbuiza kwa hisia kali kiasi cha
kumwaga chozi rais Barack Obama.
Aretha Franklin alifanikiwa kumuacha
rais Obama akitokwa chozi wakati alipokuwa akiimba ngoma yake ya
zamani ya 'A Natural Woman.'
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa
miaka 73, alitumbuiza hafla ya 2015 Kennedy Center Honors Jijini
Washington, D.C, hafla ambayo ilirushwa rasmi wiki hii.
Rais Obama akifuta chozi, huku mkewe Michelle akiwa pembeni yake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni