.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Desemba 2015

POLISI MORO YAITAMBIA TTPL KATIKA LIGI KUU YA KUU YA MUUNGANO YA NETBALL HUKO ZANZIBAR

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33.
Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33.
Kocha wa Timu ya TTPL akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa
sare ya 25-25
Kocha wa Timu ya Polisi Moro akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa
sare ya 25-25
Mchezaji wa Timu ya Polisi Moro Maryam Shabani (GS) na wa Timu ya TTPL Hawa Pembe wakiwania mpira.
Semeni Aswile(WD) akidaka mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Polisi Moro imeshginda 36-33.
Mchezaji wa timu ya Polisi Moro Frola Amandi (WA ) akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36- 33.
Mchezaji wa timu ya Polisi Moro akidaka mpira huku mchezaji wa Timu ya TTPL akiwa anajiaanda kumzuiya.
Mchezaji wa timu ya TTPL Doto Chitalula (GA) akiwa na mpira akijiandaa kutoa pasi wakati wa mchezio waio wa Ligi Kuu ya Muungano wa Netiboli inayofanyika katika uwanja wa Gymkhana, Timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33
                                Imetayarishwa na OthmanMapara.blogspot, Zanzinews.com

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni