.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Desemba 2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO YA MASASI MJINI NA LUDEWA KUFANYA UCHAGUZI TAREHE 20 DESEMBA, 2015.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza taarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji MstaafuDamian Lubuva (kushoto) akifafanua kuhusu taarifa aliyoitoa iliyohusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhcgauzi wa Tume hiyo BwanaKailima Ramadhani.

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakifuatiliana taarifa ikiyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji MstaafuDamian Lubuva kuhusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi
Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji MstaafuDamian Lubuva (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwana Kailima Ramadhani wakijadili jambo mara baada ya kutolewa kwa tarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara alipikutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.
 (Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni