.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Januari 2016

CELINE DION AKANUSHA TAARIFA ZA KUIMBA WAKATI WA MAZISHI YA MUMEWE

Mwanamuziki Celine Dion amekanusha taarifa kuwa ataimba kwenye mazishi ya mumewe Rene Angelil.

Mwakilishi wa Dion amekanusha vikali uvumi huo kuwa ataimba katika kumuenzi mumewe huyo aliyedumunae kwenye ndoa kwa miaka 21.

Hata hivyo msemaji wake huyo amekiri kuwa nyimbo moja ama mbili za Celine Dion zitapigwa kwa sauti ya chini wakati wa mazishi ya Rene Angelil.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni