.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Januari 2016

CELINE DION AONGOZA MASHABIKI WA MUMEWE KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

Celine Dion ameungana na mashabiki wa marehemu mumewe Rene Angelil kutoa heshima za mwisho hapo jana huko Old Montreal kwenye kanisa la Notre-Dame Basilica.

Mjane Celine alifunika uso kwa kitamba chenye wavu, akiwa amevalia gauni jeusi huku akionekana mwenye majozi na wakati mwingine kububujikwa na machozi.

Mumewe huyo Angélil alifariki dunia kwa saratani ya koo akiwa na umri wa miaka 73 Januari 14, na mazishi yake yatafanyika Ijumaa hapo Basilica.
        Celine Dion akimgusa begani mumewe wakati wa kutoa heshima za mwisho
                                        Mashabiki wakiuaga mwili wa mume wa Celine Dion 
                    Celine Dion akipewa pole na mmoja wa waombolezaji 
Mazishi ya Rene yataonekana live hii leo kwa kufuata maelekezo hapo juu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni