.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Januari 2016

BILIONEA MUASTRALIA JAMES PACKER AMEMCHUMBIA MARIAH CAREY

Mwanamuziki nyota wa Pop Mariah Carey na bilionea Muastralia James Packer wamefunga uchumba na wanatarajia kuoana.

Wapenzi hao walibainisha penzi lao hilo mbele ya umma Juni mwaka jana baada ya kuonekana wakiwa pamoja kwenye mapumziko nchini Italia.

Packer, 47, ni raia wa Australia wanne kwa utajiri nchini humo kwa mujibu wa jarida la Forbes, akiwa na utajiri wa dola bilioni 3.1.

Mwanamuziki Mariah Carey, 45, aliachia albamu yake ya kwanza 1990 na nimingonei mwa wasanii wakubwa waliouza mauzo mengi ya kazi zao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni