.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Januari 2016

HOTELI YAKUMBWA NA MASHAMBULIZI YA MILIPUKO YA KWENYE MAGARI

Hoteli moja maarufu ya ufukweni katika Jiji la Mogadishu nchini Somalia imekumbwa na mashambulio ya milipuko iliyowekwa kwenye magari.

Bomo la kwanza la kwenye gari lililipuka jana jioni na kufuatiwa na washambulia wenye silaha waliokuwa wakitokea ufukweni, na kisha gari lingine kulipuka baadae baada ya nusu saa.

Kunataarifa watu watatu wamekufa na inahofiwa idadi ya vifo kuongezeka. Kundi la Al-Shabaab limesema linahusika na shambulizi hilo na wapiganaji wake bado wapo kwenye hoteli hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni