Real Madrid imeifunga Sporting Gijon
mabao 5-1 lakini pia wamewapoteza Gareth Bale na Karim Benzema kwa
kupata majeruhi, na wengeweza kumpoteza Cristiano Ronaldo katika
kipindi cha pili kwa kumpiga teke Nacho Cases lakini refa Alberto
Unidano akamezea.
Kuumia kwa wachezaji hao wawili na
kitendo cha Ronaldo kujiwehusha na kumpiga teke Cases yalikuwa ndio
matukio magumu pekee katika ushindi mwingine wa kocha mpya wa Real
Zinedine Zidane.
Karim Benzema akifunga bao lake la pili
Cristiano Ronaldo akifunga bao katika mchezo huo



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni