Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo
imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni stori inayomhusu
kijana Mawazo anayepambana na changamoto nyingi akijaribu kulipa deni la
fadhila kwa Eli alizotendewa ujanani na baba yake Eli.
Fuatana naye katika filamu hii ili kupata undani wa mkasa huu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni