Mfululizo wa milipuko umelikumba
Jiji Kuu la Jakarta nchini Indonesia na kufuatiwa na milio ya risasi
na kunataarifa za kutokea milipuko zaidi.
Watu wapatao saba wameuwawa na
milipuko hiyo, ambayo imetokea katika maeneo kadhaa ikiwemo maeneo ya
maduka yaliyopo makazi ya rais na ofisi za Umoja wa Mataifa.
Mamia ya polisi kikiwemo kikosi cha
wataalamu wa kulenga shabaha wapo mitaani wakipambana na
washambuliaji.
Kikosi maalum cha polisi kikiwa kazini



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni