Vikosi vya taifa vya ulinzi wa
majini vya Iran vimesema Marekani imeomba radhi kutokana na boti ya
mabaharia wake wa kijeshi 10 kukamatwa katika eneo la majini la Iran.
Mkuu wa kikosi hicho cha Iran,
Jenerali, Ali Fadavi amewatuhumu mabaharia hao kwa kitendo chao cha
kutozingatia taaluma na sheria za nchi.
Hata hivyo Jenerali Fadavi amesema
kunauwezekano wa kundi hilo la Wamarekani hao wanaoshikiliwa na Iran
kuachiliwa hivi karibuni.
Wanajeshi Mabahari wa Marekani wakiwa katika chumba wanachoshikiliwa nchini Iran



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni