Waziri wa Scotland, Bw. David
Mundell ameamua kuanika hadharani kuwa yeye ni shoga.
Mundell ambaye ni baba wa watoto
watatu, ambaye ametengana na mkewe amechapisha kwenye taarifa hiyo
kwenye tovuti yake na kuandika 'new year, new start!'
Bw. Mundell, ambaye ni waziri wa
kwanza wa chama cha Conservative kujitangaza kuwa ni shoga amesema
atakuwa na furaha kuona umma unamkubali jinsi alivyo.
Waziri David Mundell akiwa na watoto wake Lewis na Oliver


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni