Mshindi wa Ubunifu mitindo Jocktan Cosmas Maluli A.k.a Makeke (aliyeshika cheti) akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa shindano hilo kuanzia kushoto ni Zamda George, Comfort Badaru, Martin Kadinda, Reuben Nabora na Stanley Kamana.
Mshindi wa kipengele cha The Best Photographer, Daniel Msirikale (mwenye miwani) akipokea tuzo yake.
Mshindi wa ubunifu mitindo, Joc akiwa katika picha ya pamoja na wanamitindo wanaoonesha mavazi yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni