.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Januari 2016

KIKONGWE MWANAUME MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AFARIKI DUNIA

Mwanaume mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani amefariki dunia leo Japan katika mji wa Nagoya akiwa na umri wa miaka 112.

Mzee huyo Yasutaro Koide, aliyezaliwa Machi 13 mwaka 1903, alitambulishwa rasmi kuwa mtu mzee kuliko wote na Guinness World Records, Agosti mwaka jana.

Koide amesema siri yake ya kuishi miaka mingi ni kutovuta sigara, kutokunywa pombe, kutokufanya vitu kupitiliza na kuishi kwa furaha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni