.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 18 Januari 2016

MAPOROMOKO YA BARAFU YAUWA WANAJESHI WATANO WA UFARANSA

Wanajeshi watano wa Ufaransa wamefariki kufuatia maporomoko ya theluji yaliyotokea wakati wakifanya mazoezi kwenye Mlima Alps.

Maporomoko hayo ya barafu yalitoke eneo la chini la Valfrejus, ambalo si mbali sana na mpaka wa Italia ambapo wanajeshi 50 wa Ufaransa walipokuwa wakifanya mazoezi.

Zoezi la kuwatafuta wanajeshi hao likihusisha mbwa na helkopta lililianza mara moja.


Pia watalii wa Ukraine wamefariki kwa maporomoko eneo la Les Deux Alpes, kilomita 124 kutoka katika tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni