.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 18 Januari 2016

WANAJESHI 16 WAKENYA WAREJEA JIJINI NAIROBI WAKITOKEA KATIKA KAMBI ILIYOSHAMBULIWA SOMALIA

Wanajeshi 16 wa Kenya walionusurika wiki iliyopita katika shambulizi la Al-Shabaab kwenye kambi ya jeshi nchini Somalia wamewasili Nairobi hii elo.

Wanajeshi hao wamewasili katika uwanja wa ndege wa Wilson majira ya mchana wakiwa na ndege ya jeshi.


Wanajeshi hao wamepokelewa na Waziri wa Ulinzi Kenya Raychelle Omamo pamoja na Mkuu wa Majeshi Samson Mwathethe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni