.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 18 Januari 2016
MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA, MHANDISI SULEIMAN AFARIKI DUNIA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania, Mhandisi Suleiman Said Suleiman ( mwenye miwani ) amefariki dunia leo asubuhi.
Taarifa zinasema kuwa, Mhandisi Suleiman alifariki dunia wakati akiwa mazoezi ya kuogelea.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni