Bingwa mtetezi Serena Williams
ametinga katika raundi ya pili ya michuano ya wazi ya Australia kwa
ushindi wa seti 6-4 7-5 dhidi ya Muitalia Camila Giorgi.
Mmarekani Serena anajaribu kufikia
rekodi iliyowekwa na Steffi Graf ya kutwaa mataji 22 ya 2 Grand Slam,
amekuwa akisumbuliwa na tatizo kwenye goti la kushoto.
Hata hivyo Serena, 34, amefanikiwa
kupambana vilivyo huku akikabiliana na joto kali la Melbourne na
kisha kushinda.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni