Mume wa mwanamuziki Celine Dion, René Angélil amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
René Angélil ameaga dunia jana alhamisi akiwa nyumbani kwake Las Vegas baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na familia yake imesema kuwa, René Angélil amekuwa akipambana na ugonjwa huo kwa muda mrefu.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni