Picha za maafa zinazoonyesha
nyangumi watatu waliokufa na kusombwa na maji hadi kwenye fukwe
nchini Uingereza, saa chache baada ya mwingine kufa baada ya kujikuta
kwenye kina kifupi zimetolewa.
Nyangumi hao wamekutwa kwenye pwani
ya Lincolnshire jana asubuhi muda mfupi baada ya nyangumi mmoja
kufanya makosa na kujikuta akiogelea kwenye kina kifupi na kufa eneo
la Hunstanton huko Norfolk.
Watu wakishanga nyangumi waliokufa kwenye ufukwe wa Uingereza
Baba mmoja akipiga Selfie mbele ya mzoga wa nyangumi akiwa na mtoto wake




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni