.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 25 Januari 2016

JIJI LA NEW YORK LAONDOA AMRI YA KUZUIA MAGARI KUSAFIRI

Amri ya kutosafiri magari katika Jiji la New York imeondolewa wakati huu ambapo pwani ya mashariki ya Marekani ikianza kuondokana na theluji kubwa iliyoyakumba maeneo kadhaa mwishoni mwa wiki.

Hata hivyo Jiji la Washington DC usafiri wa umma wa treni utaendelea kufungwa huku usafiri wa anga katika mkoa huo nao ukikabiliwa na vikwazo zaidi.

Wakati majimbo matano yakishuhudia theluji ikianguka na kufikia sentimita 91 na zaidi, hali hiyo ya theluji imefikisha idadi ya vifo vya watu sita waliokuwa majumbani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni