Askofu George Okal wa Kanisa la The
Holy Spirit of Israel ambaye waumini wake wanashikiliwa.
Polisi nchini Kenya wanawahoji
watuhumiwa watatu ambao wanadaiwa kumchoma moto mtoto katika eneo la
Ponda Mali nje ya mji wa Nakuru, kwa madai kuwa wanamtoa mapepo.
Watuhumiwa hao wambao wanadaiwa
walikuwa saba, wote wakiwa ni waumini wa kanisa la The Holy Spirit of Israel Church walitenda tukio hilo Ijumaa usiku.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni