.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Januari 2016

WATU WATATU WALIOHUSIKA NA SHAMBULIZI LA BURKINA FASO HAWAJAPATIKANA

Watu watatu waliohusika na tukio la wiki iliyopita la shambulizi la Burkina Faso bado hawajapatikana, Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls amesema.

Shambulizi hilo kwenye hoteli katika Jiji la Ouagadougou, lilidaiwa kufanywa na al-Qaeda wa kundi la Islamic Maghreb (AQIM).

Vifo vya tukio hilo vimeongezeka na kufikia watu 30, baada mpigapicha raia wa Ufaransa mwenye asili ya Morocco kufa kwa majeraha. Watu wenye silaha watatu waliuwawa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni