Wapinzani wakuu katika mchezo wa
tenesi wamechuani vikali katika mchezo ambao hata hivyo uliishi kwa
Serena Williams kumfunga Maria Sharapova katika mchezo uliochezwa
nchini Australia.
Kwa ushindi huo Williams amefika
nusu fainali ya michuano hiyo ya Australian Open akitimiza michezo 18
ya kumshinda Mrusi Sharapova, ambapo katika mchezo huo alishinda kwa
seti 6-4 6-1 baada ya kucheza kwa saa moja na dakika 32.
Serena Williams akirudisha mpira uliopigwa na Sharapova
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni