Serikali ya Ethiopia imeachana na
mpango wa kupanua mipaka ya Jiji la Addis Ababa ambapo umesababisha
maandamano makali ya miezi kadhaa kupinga mpango huo.
Maandamano hayo ya watu wenye asili
ya kabila la Oromo yamechochewa na hofu kuwa upanuzi huo wa Jiji la
Addis Ababa utawafanya wakose makazi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni