.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 28 Januari 2016

SHEHENA YA KWANZA YA KARATASI ZA KUPIGIA KURA UGANDA KUWASILI LEO

Tume ya Uchaguzi ya Uganda, imesema kuwa shehena ya kwanza ya karatasi za kura za urais na wabunge, itawasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Entebbe hii leo.

Bila ya kutaja idadi yake, tume hiyo imesema karatasi hizo zitaletwa na Paarl Media kampuni ya Afrika Kusini iliyoshinda tenda ya kuchapisha karatasi za uchaguzi mkuu.

Jumla ya wagombea saba wanawania urais kujaribu kumg'oa madarakani kwa sanduku la kura rais aliye madarakani Yoweri Museveni katika uchaguzi huo utakaofanyika Februari 18.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni