.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 28 Januari 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Yasemin Eralp aliyemtembelea ofisini kwake leo tarehe 28 Januari, 2016, Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai akisitiza jambo wakati akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Yasemin Eralp aliyemtembelea ofisini kwake. Katikati ni Katibu wa Balozi huyo.

Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Yasemin Eralp aliyemtembelea ofisini kwake Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Bunge)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni