OFISI ya chama cha mapinduzi, ccm, mkoa wa Arusha imetoa orodha ya wanachama 25,waliochukua fomu za kugombea uongozi ngazi ya mkoa kuziba nafasi ambazo ziko wazi ili kukamilisha safu ya uongozi ya Chama mkoa.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibuni katibu msaidizi mkuu, Omary Billaly aliwataja waliochukua fomu na kurejesha nafasi ya mwenyekiti wa mkoa ndani ya ccm kuwa niJacob Meja Mollel, Juma Saidi Lossin,Victor Nicodemas Mollel, John Danielson Palangyo, Rabiel Fanuel Mbise,Hamis Saidi,Mussa Hamis Mkanga.
Wengine ni Ally Jumbe, Metui Ailo ole Shaudo,Mustafa Panju, Michael Lekule Laizer,Kenedy Danford Mpumilwa ,Raphael Long’idu Mollel, Karim Ephraim MushiGodson Loning’o,Thomas Munis,Emanuel Makongoro Lusenga.
Wengine ni Henry Obed Mejooli,Veraikunda Zablon Urio,Babu Mohamed Kitume, Kisali Eliah, Bernadeth Silas Changulu,,Hafidhi Mwango Bakary,Agnes Gidion Mollel, na Ndewirwa Soori Mbise.
Billaly aliongeza kuwa wanachama wawili ambao ni Shaaban Masawe na Rajab Mshana hawakurudisha fomu hizo
Walichukua fomu za kugombea ukatibu wa siasa na uenezi mkoa wa Arusha ni Peter Mathew Kasella, Veraikunda Zablon Urio,Gerald Eliaika Munisi, Lightness Ahadiel Mweteni,Japhet Zakaria Moirani, Anna Agatha Musuya,Jasper Augustino Kisumbua,Zam zam Ramadhan Abdalah, Emanuel Makongoro Lusenga,Amani Silanga Mollel, Victor Nicodemas Mollel, Ally Juma Mwinyimvua.
Wengine ni Hamis Said Migire,Julius Laanyun Mollel,Cylius Daniel Mlekwa,Ahmed Mwita Chacha,Semmy Robson Kiondo,Revocutus Wiliam,Palapala ,Emanuel Abel Sirikwa,Loata Erasto Sanare,Joshua Hungura Mbwana,Njechele Eliakim Laizer.Godson Solomon Mollel, (Mzunguu).
Wengine Shaaban Omar Mdoe, Wahabu Hemed MbagaaZIZI Abdalah Mfundo,Abel Smwel Kalama,Justus Enock Rwandezi,Sylevesta Kornen Meda, Lobora Petro Ndarapoi, na Victor Livingston Njau.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni