Mwanaume mmoja wa Bangladesh
aliyebatizwa jina la mtu mti kutokana na kupatwa na ugonjwa wa ngozi
inayokuwa mithili ya magome ya miti amelazwa hospitali.
Mwanaume huyo Abul Bajandar, 25,
kutoka Khulna, amekuwa anaugua ugonjwa nadra wa ngozi unaoitwa
kitaalamu Epidermodysplasia Verruciformis, kwa zaidi ya miaka saba
iliyopita.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni