Chelsea imethibitisha kunasa saini
ya Matt Miazga kutoka timu ya New York Red Bulls kwa mkataba wa miaka
minne na nusu.
Beki huyo Mmarekani, 20, alikuwa
kwenye kikosi cha New York kilichomaliza katika nafasi ya kwanza
katika msimu wa Ligi Kuu ya Marekani wa mwaka jana.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni