Mji wa mmoja wa nchini Ujerumani
umewapiga marufuku wahamiaji kuogelea kwenye mabwawa ya umma baada ya
wanawake wa nchi hiyo kulalamika kuwapo kwa vitendo vya
udhalilishaji.
Afisa wa serikali wa mji wa Bornheim
amesema wanaume kutoka kituo cha wahamiaji kilichopo karibu na mji
huo watazuiwa kuogelea kwenye mabwawa hadi watakapoelewa tabia zao
hazikubaliki.
Uamuzi huo unafuatia hasira za umma
kutokana na mamia ya wanawake kudhalilishwa kingono Jijini Cologne
pamoja na majiji mengine ya Ujerumani usiku wa mwaka mpya na
wahamiaji wanaume.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni