.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 30 Januari 2016

WATU 16 WAFA NYAA KATIKA MJI ULIOZINGIRWA WA MADAYA NCHINI SYRIA

Watu wapatao 16 wamekufa njaa katika mji uliozingirwa wa Madaya nchini Syria tangu ujumbe wa Umoja wa Mataifa kufika mji huo mapema huu, kwa mujibu wa shirika la Madaktari Wasionamipaka.

Mkurugenzi wa Operesheni wa shirika hilo Brice de la Vingne, amesema kuwa watu wengine 33 wapo hatarini kufa kwa njaa.

Shirika la Madkatari Wasionamipaka lilisema watu 30 walikufa kwa njaa katika mji wa Madaya mwishoni mwa mwaka jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni