.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 30 Januari 2016

BARUA PEPE ZA BI. HILLARY CLINTON NI SIRI HAZITATOLEWA KWA UMMA

Barua pepe 22 zilizotumwa kwa Bi. Hillary Clinton kwenye seva isiyona usalama nyumbani kwake wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje zikiwemo zenye siri za serikali, maafisa wa Marekani wamesema.

Idara ya Serikali ya Marekani imesema ujumbe uliotumwa ulikuwa ni siri za hali ya juu, na haziwezi kutolewa kwa umma.

Msemaji wa Idara hiyo John Kirby amesema barua pepe hizo zilikuwa hazijawekwa ishara ya kuwa ni siri wakati zikitumwa.

Kitendo cha Bi. Clinton kutumia barua pepe yake binafsi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje kimekuwa kikimtia dosari katika mbio zake za kuwania urais.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni