Mshambuliaji raia wa Ivory Coast,
Wilfried Bony amesema kuwa hakuna ukweli wowote juu ya uvumi kuwa
yeye anaondoka Manchester City.
Mchezaji huyo alihoji uamuzi wa
kocha Manuel Pellegrini kumuacha mwezi Desemba na tangu wakati huo
wamekuwa akihusishwa na kurejea Swansea.
Wilfried Bony amesema anafuraha
kwenye klabu hiyo, na kusema uvumi wote unaosemwa juu yake si kweli.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni