Mwanasayansi mmoja na mtumishi wa
misitu ni miongoni mwa watu waliong'atwa na chui huyo katika jitihada
za kumkamata zilizodumu kwa saa 10 siku ya jana.
Chui huyo aliyeiingia kwenye shule
ya Kimataifa ya Vibgyor, hatimae walifanikiwa kumlewesha kwa dawa za
usingizi na kumkamata.
Sensa ya wanyamapori ya hivi
karibuni nchini India inakadiria nchi hiyo ina chui kati ya 12,000
ama 14,000.
Mmoja wa majeruhi akipewa msaada wa kuondolewa sehemu ya tukio
Baadhi ya watu wakikimbia kuokoa maisha yao baada ya chui kuanza kuwafuata



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni