.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 28 Februari 2016

GHARAMA ZA SHEREHE YA KUZALIWA RAIS MUGABE ZAKOSOLEWA

Chama tawala nchini Zimbabwe kimekosolewa kwa kufanya sherehe ya anasa ya kuadhimisha miaka 92 ya kuzaliwa rais Robert Mugabe wakati wananchi wengi wakikabiliwa na uhaba wa chakula.

Sherehe hiyo iliyoandalwa na chama cha ZANU-PF imeripotiwa kugharimu karibu dola lakini nane.

Chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC) kimesema sherehe hizo ni jambo la kufedhehesha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni